ROBERTINHO Afurahishwa Na Hali Ya Kikosi Cha Simba Kuelekea Mchezo Dhidi Ya Singida (Benjamini Mkapa stadium)

Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars yamekamilika na wachezaji wapo kwenye hali nzuri.
Robertinho has said that he is happy with the current state of the squad as all the players who were injured have returned to the field so he will have a wide scope to organize the squad.
Robertinho ameongeza kuwa kama ilivyo kawaida tutaingia katika mchezo wa kesho kwa lengo la kucheza soka safi la kushambulia na kukaba kwa pamoja.

“Maandalizi yamekamilika, wachezaji wapo kwenye hali nzuri. Jambo zuri kwangu kama mwalimu pamoja na benchi zima la ufundi ni kuona wachezaji wote wakiwa wako fiti.
“Tunategemea kupanga kikosi kamili kwakuwa tunaenda kukutana na timu bora. Tumejipanga kushinda kwakuwa tunahitaji kuwa na morali kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
“Tutacheza kwa kufuata falsafa za Simba, tunashambulia na kukaba kwa pamoja lakini lengo letu ni kuhakikisha tunapata ushindi,” amesema Robertinho.
Msimamo Ligi Kuu Bara

10 Jobs you can get with a Grade 10 Certificate in South Africa
THE END: