sports

Imani Kajula CEO mpya Simba SC.

Imani Kajula CEO mpya Simba SC.

Image 530

UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano ya kumuajiri ndugu Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo kwa mkataba wa miezi sita.

Kajula takes the position left vacant by Barbara Gonzalez who resigned from her position on December 10, 2022.

Ni mzoefu kwenye Uongozi wa mpira kwani alikuwepo kwenye Kamati ya maandalizi ya Michuano ya Afrika ya vijana chini ya umri wa miaka 17 yaliyofanyika nchini mwaka 2019.

Kabla ya kutua Simba alikuwa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Masoko na Mawasiliano ya (EAG Group) akihudumu kwenye nafasi hiyo tangu mwaka 2013 mpaka sasa.

Kwa mujibu wa Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa mkataba huo unaweza kurefushwa endapo Bodi itaridhishwa na utendaji wake katika kipindi cha miezi sita waliyompatia.

Kajula is an expert in Marketing and Communications and has worked with various companies and banks in the country and abroad.

Among the jobs he did before landing at Simba Sports Club are;

Alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano NMB kuanzia 2006-2013. Alikuwa Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta kuanzia 2003-2006. Alikuwa Meneja Masoko wa CRDB kuanzia 1999-2003.

Akiwa EAG Group Kajula alikuwa sehemu ya maandalizi ya Wiki ya Simba mpaka kilele chake (Simba Day) ambapo kampuni hiyo ndiyo ilitengeneza mitandao ya kijamii ya klabu ya Simba SC.

>Ouanane Sellami Kocha mpya Simba SC

Imani Kajula CEO mpya Simba SC.

msimamo wa ligi kuu tanzania bara 2022/23

Image 529
4

A-Media

I Am the Publisher And Designer of Ajira Mediaโ„ข๏ธ -This Website is all about Job Advertisements, University News, Careers and Opportunities, Scholarships, Daily Online Deals and Promotions.

Related Articles

Back to top button